Mwanzo > ZANZIBAR > KIPANGA JANA ILICHEZEA 7-0 MBELE YA CLUB AFRICAIN HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI ZANZIBAR KIPANGA JANA ILICHEZEA 7-0 MBELE YA CLUB AFRICAIN TIMU ya Kipanga ya Zanzibar jana imetupwa nje ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa 7-0 na wenyeji, Club Africain ya Tunisia.Mechi ya kwanza wiki iliyopita Uwanja wa Amani visiwani Zanzibar, Kipanga ilikomaa na kutoa suluhu. Monday, October 17, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI ZANZIBAR
0 comments:
Post a Comment