Mwanzo > SERENGETI BOYS > SERENGETI BOYS YAIPIGA UGANDA KWA MATUTA CECAFA U17 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SERENGETI BOYS SERENGETI BOYS YAIPIGA UGANDA KWA MATUTA CECAFA U17 TANZANIA imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya CECAFA U17 baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Uganda leo Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia. Saturday, October 15, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SERENGETI BOYS
0 comments:
Post a Comment