Mwanzo > SERENGETI GIRLS > SERENGETI GIRLS YATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI KOMBE LA DUNIA SERENGETI GIRLS SERENGETI GIRLS YATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka wa 17, Serengeti Girls imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Dunia U17 baada ya kuchapwa 3-0 na Colombia katika mchezo wa Robo Fainali leo Uwanja wa Pandit Jawaharlal Nehru huko Goa, India. Saturday, October 22, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI KOMBE LA DUNIA SERENGETI GIRLS
0 comments:
Post a Comment