YANGA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA CLUB AFRICAIN DAR
WENYEJI, Yanga SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Club Africain ya Tunisia katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Sasa Yanga SC watatakiwa kwenda kupambana kushinda ugenini Jijini Tunis katika mchezo wa marudiano Jumatano ijayo.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment