NTIBANZOKIZA AKABIDHIWA TUZO ZA FEDHA ZAKE SIMBA SC
KIUNGO Mrundi, Saido Ntibanzokiza leo amekabidhiwa Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba mwezi Januari, mwaka huu sambamba na mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, Emirate Aluminium Profile Limited.
0 comments:
Post a Comment