Mwanzo > SINGIDA UNITED > SINGIDA BIG STARS YATOZWA FAINI MECHI NA SIMBA SC HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA SINGIDA UNITED SINGIDA BIG STARS YATOZWA FAINI MECHI NA SIMBA SC KLABU ya Singida Big Stars imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la kukataa kuingia kwenye chumba mahsusi cha kubadilishia nguo katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Simba SC Jijini Dar es Salaam. Thursday, February 23, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA SINGIDA UNITED
0 comments:
Post a Comment