NYOTA WA YANGA NA FEI TOTO WAWASILI CAIRO KUIVAA UGANDA
WACHEZAJI wa Yanga SC tayari wamewasili Misri wakiwa na Feisal Salum kujiunga na timu ya taifa, Taifa Stars kwa ajili ya mchezo wa Kundi F Kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Uganda Ijumaa Uwanja wa Suez Canal Jijini Ismailia.
0 comments:
Post a Comment