MECHI ya watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara imemalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1, Simba Queens wakitangulia kwa bao la Jentrix Shikangwa kabla ya Yanga Princess kusawazisha kupitia kwa Wogu Chioma Uwanja wa Uhuru Jijijni Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment