NUSU Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) itafanyika Mei 6 Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara baina ya Azam FC na Simba SC. Nusu Fainali ya pili baina ya Singida Big Stars itafuatia Uwanja wa LITI mjini Singida.
0 comments:
Post a Comment