Mwanzo > SOKA LA UFUKWENI > TANZANIA YAANZA VIBAYA MICHEZO YA AFRIKA SOKA LA UFUKWENI HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SOKA LA UFUKWENI TANZANIA YAANZA VIBAYA MICHEZO YA AFRIKA SOKA LA UFUKWENI TIMU ya taifa ya Soka la Ufukweni, imeanza vibaya Michezo ya Afrika baada ya kufungwa na Morocco 6-4 katika mchezo wa Kundi la Kwanza Ufukweni wa Hammamet nchini Tunisia. Wednesday, June 28, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SOKA LA UFUKWENI
0 comments:
Post a Comment