Mwanzo > TANZANIA PRISONS > TANZANIA PRISONS YAACHANA NA SHAABAN KISIGA ‘MALONE’ HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TANZANIA PRISONS TANZANIA PRISONS YAACHANA NA SHAABAN KISIGA ‘MALONE’ KLABU ya Tanzania Prisons imeachana na wachezaji wake watatu, ambao ni Ramadhani Ntabi, Michael Masinda na Shaaban Kisiga ‘Malone’ aliyewahi kuwika Simba SC na SC Villa ya Uganda. Tuesday, June 27, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TANZANIA PRISONS
0 comments:
Post a Comment