NTIBANZOKIZA MCHEZAJI BORA, ROBERTINHO KOCHA BORA LIGI KUU MEI
KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi, Saido Ntibanzokiza wa Simba SC amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Mei, 2023, Mbrazil Robert Oliveira ‘Robertinho’ akishinda tuzo ya Kocha Bora.
0 comments:
Post a Comment