TAIFA STARS TAYARI KUCHUKUA POINTI KWA NIGER KESHO DAR
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho leo kuelekea mchezo wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Niger kesho Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment