BEKI wa kati, Msenegal Malickou Ndoye amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea na kazi Azam FC hadi mwaka 2025. Ndoye aliyetua Azam FC msimu uliopita akitokea Teungueth ya kwao, Rufisque msimu ujao ata ataungana na kocha wake wa zamani, Youssouph Dabo.
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment