AZAM FC YATIMUA MAKOCHA WAWILI MSPANIOLA NA MTUNISIA
KLABU ya Azam FC imeachana na makocha wake wawili, Kocha wa makipa Mspaniola Dani Cadena na kocha wa Fiziki, Mtunisia Dk. Moadh Hiraoui. Makocha hao wanaondoka kupisha wasaidizi wapya watanaoletwa na kocha mpya, Msenegal Youssouph Dabo ambaye ataanza kukiandaa kikosi kwa ajili ya msimu ujao.
0 comments:
Post a Comment