Mwanzo > SINGIDA UNITED > FIFA YAIFUNGIA SINGIDA KUSAJILI KWA MARA NYINGINE TENA FIFA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SINGIDA UNITED FIFA YAIFUNGIA SINGIDA KUSAJILI KWA MARA NYINGINE TENA SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Singida Fountain Gate kusajili mchezaji mpya hadi hapo itakapomlipa madai yake beki Mganda, Shafiq Batambuze. Wednesday, January 10, 2024 FIFA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SINGIDA UNITED
0 comments:
Post a Comment