Mwanzo > YANGA > YANGA SC YAACHANA NA WINGA 'MTAALAMU' JESUS MOLOKO HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA YANGA SC YAACHANA NA WINGA 'MTAALAMU' JESUS MOLOKO KLABU ya Yanga imeachana na winga, Jesus Ducapel Moloko baada ya misimu miwili na nusu tangu ajiunge nayo Agosti mwaka 2021 akitokea AS Vita ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Monday, January 15, 2024 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment