• HABARI MPYA

    Saturday, September 07, 2024

    AHOUA AENDELEA KUNG’ARA SİMBA SC IKIICHAPA JKT 2-0 MWENGE


    MABAO ya viungo Muivory Coast, Jean Charles Ahoua kwa penalti na mzawa, Salehe Karabaka Kikuya leo yaliipa Simba SC ushindi wa 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge Jijini Dar es Salaam.
    GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AHOUA AENDELEA KUNG’ARA SİMBA SC IKIICHAPA JKT 2-0 MWENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top