• HABARI MPYA

    Sunday, September 08, 2024

    SIMBA SC YAACHANA NA JUMA MGUNDA, MGOSI BOSI TENA QUEENS


    KLABU ya Simba imetangaza kuachana na Kocha Juma Ramadhani Mgunda wa timu yake wanawake, Simba Queens na sasa kikosi hicho kitakuwa chini ya Mussa Hassan Mgosi.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YAACHANA NA JUMA MGUNDA, MGOSI BOSI TENA QUEENS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top