Mwanzo > YANGA > MECHI YA SIMBA NA YANGA YAAHIRISHWA RASMI KUPISHA UCHUNGUZI HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA YANGA MECHI YA SIMBA NA YANGA YAAHIRISHWA RASMI KUPISHA UCHUNGUZI MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Yanga na Simba uliopangwa kufanyika leo kuanzia Saa 1:15 usiku umeahirishwa rasmi hadi hapo utakapopangiwa tarehe nyingine. Saturday, March 08, 2025 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA YANGA
0 comments:
Post a Comment