Nyota wa muziki wa Hip hop nchini, Profesa Jay (kulia) akiwa na msanii mwingine wa Hip hop Lord Eyes au Lord Easy wa kundi la Nako2Nako. katikati ni shemeji yake Jay kwa Lord Eyes, mdada Ray C. Hapa walikuwa kwenye moja ya michakato ya kuelekea utoaji wa tuzo za Kili mwaka huu
0 comments:
Post a Comment