MAMA WHITNEY AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA TANGU KIFO CHA BINTI YAKE
KATIKA mahojiano yake ya kwanza tangu kufariki kwa binti yake,
Whitney Houston kiasi cha miezi miwili iliyopita, Cissy Houston amesema kwamba
alifanya jitihada zake kubwa kumkuza binti yake huyo na anajivunia sana nyota
huyo wa zamani wa R&B. Pichani ni mama ni Whitney na binti yake enzin za
uhai wake.
0 comments:
Post a Comment