![]() |
Mel B |
Muingereza Mel, mwenye umri wa miaka 36, hivi karibuni amekuwa akifanya kazi zake katika Majiji ya London, LA na Sydney.
Ni maarufu Australia akiwa amewahi kuwa jaji wa shindano la X Factor na hivi karibuni atashiriki katika mchezo wa Dancing With The Stars.
Mke huyo wa mtu na mama wa watoto watatu alisema: "Ningependa kuwa raia wa Australia." Mtoto wake mkubwa Phoenix mwenye umri wa mikaka 13, anasoma Sydney.
Mel alisema: "Nimefungua duka hapa. Tuna furaha na tumejipanga,”.
0 comments:
Post a Comment