• HABARI MPYA

    Tuesday, May 22, 2012

    EURO MILIONI 40 ZA CHELSEA KUMNASA WINGA WA BRAZIL ZAPIGWA CHINI


    Lucas - São Paulo
    Lucas Moura
    KLABU ya Chelsea ilikuwa ilitanga dau la euro Milioni 40 kumnasa winga wa Sao Paulo, Lucas Moura lakini limepigwa chini, japokuwa bado wanaisaka saini yake kwa usi na uvumba, kwa mujibu wa rais wa klabu hiyo ya Brazil.
    Kijana huyo wa bei mbaya mwenye umri wa miaka 19, tayari ameichezea mechi 11 Brazil, akiifungia bao moja, na pia anawaniwa na Inter na Real Madrid.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EURO MILIONI 40 ZA CHELSEA KUMNASA WINGA WA BRAZIL ZAPIGWA CHINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top