• HABARI MPYA

    Tuesday, May 22, 2012

    ROBIN GIBB ALIACHA WOSIA APIGIWE HOW DEEP YOUR LOVE KATIKA MAZISHI YAKE


    Robin Gibb
    IMarehemu Robin Gibb
    EXCLUSIVE
    Published: Today at 00:00

    GWIJI wa POP, Robin Gibb aliacha ujumbe kabla ya kifo chake akitaika wimbo wao Bee Gees uliotikisa, How Deep Is Your Love uwe wa kwanza kuchezwa katika mazishi yake.

    Robin, aliyefariki kwa ugonjwa wa saratani Jumapili usiku akiwa ana umri wa miaka 62, alitoa ombi hilo kwa mtoto wake wa kiume, Spencer mwenye umri wa miaka 40, wakati hali yake ilipokuwa mbaya.
    How Deep Is Your Love uliandikwa na Robin mwenyewe akishirikiana na kaka zake, Maurice na Barry, na ulilipandisha mno chati kundi hilo.
    Wimbo huo ambao umetumika katika sinema ya Saturday Night Fever, ulishika namba moja Amerika na namba tatu Uingereza mwaka 1977.

    NYIMBO ZAKE KALI MIAKA 35 


    Nyimbo za Bee Gees zilizoshika namba 1:
    Spicks and Specks, 1966
    Massachusetts, 1967
    World, 1967
    Worlds, 1968
    I've Gotta Get A Message To You, 1968
    I Started A Joke, 1968
    Tomorrow Tomorrow, 1969
    Don't Forget To Remember, 1969
    Lonely Days, 1970
    How Can You Mend A Broken Heart, 1971
    My World, 1972
    Saw A New Morning, 1973
    Wouldn't I Be Someone, 1973
    Jive Talkin', 1975
    You Should Be Dancing, 1976
    How Deep Is Your Love, 1977
    Stayin' Alive, 1977
    Night Fever, 1978
    Too Much Heaven, 1978
    Tragedy, 1979
    Love You Inside Out, 1979
    You Win Again, 1987
    For Whom The Bell Tolls, 1993
    Alone, 1997
    Hits written by the Bee Gees for other artists:

    Come On Over — Olivia Newton John, 1975
    Grease — Frankie Valli, 1978
    Guilty and Woman In Love — Barbara Streisand, 1980
    Heartbreaker — Dionne Warwick, 1982
    Islands In The Stream — Kenny Rogers & Dolly Parton, 1983
    Chain Reaction — Diana Ross, 1985
    Immortality — Celine Dion, 1998
    I Will Be There — Tina Turner, 1999
    Emotion — Destiny's Child, 2001
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROBIN GIBB ALIACHA WOSIA APIGIWE HOW DEEP YOUR LOVE KATIKA MAZISHI YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top