• HABARI MPYA

    Monday, June 11, 2012

    MAKINDA YA AZAM YAKILISHWA 'NGUVU' CHAMAZI





    Kocha wa timu ya vijana ya Azam FC, Iddi Cheche ambaye ni beki wa zamani wa Sigara (sasa Moro United) na Kariakoo United ya Lindi, akiwanoa kwa mazoezi ya kujenga mwili wachezaji wa timu hiyo katika gym ya timu hiyo iliyopo ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jioni ya leo.

    1. Mwinyi Hamadi kushoto na Saleh Abdallah
    2. Deogratius Nemes
    3. Abdul Iddi Machuppa, mdogo wake Athumani Machuppa
    4. Kocha Cheche akimuelekeza Mwinyi Hamadi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAKINDA YA AZAM YAKILISHWA 'NGUVU' CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top