MECHI YA KIRAFIKI YA KIMATAIFA
IMECHEZWA LEO
Juni 9, 2012
UWANJA: MetLife — East Rutherford, New Jersey
REFA: J. Marrufo
MAHUDHURIO: 81994
Juni 9, 2012
UWANJA: MetLife — East Rutherford, New Jersey
REFA: J. Marrufo
MAHUDHURIO: 81994
-
Lionel Messi amepiga hat-trick wakati Argentina, ikipata ushindi wa 4-3 dhidi ya wapinzani wao wa jadi wa Amerika Kusini, Brazil usiku huu nchini Marekani katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa.
0 comments:
Post a Comment