Mwanasoka bora wa zamani Afrika, Abedi Ayew Pele wa Ghaa, akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Tanzania (TASWA), Juma Abbas Pinto (kulia) jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Yanga na Azam. Pele yuko nchini kwa shughuli za kisoka na jana alishuhudia soka safi, Yanga ikiinyeshwa Azam kwa mkupuo vikombe viwili, yaani 2-0.
|