KIUNGO Frank Lampard amefunga bao lake la 198 Chelsea katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Wigan, The Blues wakimaliza ukame wa ushindi wa katika mechi nne na kumpunguzia presha kocha Rafael Benitez.
TAKWIMU ZA MECHI
Kikosi cha Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill (Benayoun 88), Cole, Luiz, Ramires, Oscar (Mata 77), Lampard, Hazard (Marin 90), Torres. Subs not used: Turnbull, Ferreira, Ba, Bertrand.
Kadi ya njano: Marin.
Wafungaji wa mabao: Ramires dk23, Hazard dk56, Lampard dk86, Marin dk90.
Kikosi cha Wigan: Al Habsi, Stam (Jones 83), Scharner, Caldwell, Figueroa, McCarthy, McArthur, Beausejour, Espinoza (Kone 59), Maloney, Di Santo. Subs not used: Robles, Henriquez, Gomez, McManaman, Golobart.
Kadi za njano: Scharner, Figueroa.
Mfungaji wa bao: Maloney dk58.
Mahudhurio: 41,562
Refa: Mike Dean.
Chelsea wakishangilia