MAKOSA ya Joe Hart na Gareth Barry yameigharimu Manchester City katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kufungwa na Southampton3-1, huo ukiwa ushindi wao wa kwanza chini ya Mauricio Pochettino.
TAKWIMU ZA MECHI:
Kikosi Southampton: Boruc, Clyne, Yoshida, Hooiveld, Fox (Richardson 71), Cork, Schneiderlin, Steven Davis (Ward-Prowse 80), Puncheon (Lallana 61), Rodriguez, Lambert.
Benchi: Kelvin Davis, Forren, Lee, Chaplow.
Kadi ya njano: Lambert.
Wafungaji wa mabao: Puncheon dk7, Davis dk22, Barry (kujifunga) dk48.
Kikosi Man City: Hart, Zabaleta, Lescott (Kolarov 66), Javi Garcia, Clichy, Nasri (Milner 55), Yaya Toure, Barry, Silva (Maicon 73), Aguero, Dzeko.
Benchi: Pantilimon, Sinclair, Rodwell, Yaya Toure.
Njano: Clichy, Yaya Toure.
Mfungaji wa bao: Dzeko 39.
Mahudhurio: 31,738
Refa: Martin Atkinson (W Yorkshire)
Wachezaji wa Manchester City hoi
Puncheon akishangilia bao lake