• HABARI MPYA

    Friday, July 05, 2013

    ARSENAL WAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA KWA AINA YAKE...NI FULL KUNYANYUA MAVYUMA NA KUFUKUZA UPEPO

    IMEWEKWA JULAI 5, 2013 SAA 3:52 ASUBUHI
    NYOTA wa uzito wa juu wa Arsenal wamerejea mazoezini jana asubuhi huku kikosi cha Arsene Wenger kikianza maandalizi ya msimu mpya.
    Na The Gunners wakielekea kwenye kampeni ya kushinda taji la kwanza kwa zaidi ya miaka nane, wachezaji walifanya mazoezi mepesi ya kukimbia na kunyanyua vitu vizito katika Uwanja wao wa mazoezi wa Colney, London. 
    Mashabiki wa Arsenal watamuona Jack Wilshere akifanya mazoezi kikosini, na wengi wakiamini uimara wa nyota huyo wa England ni dalili nzuri kwa kikosi cha Wenger kuelekea msimu mpya. 
    Power lift: Theo Walcott lifts weights
    Kunyanyua uzito: Theo Walcott 'akipiga chuma'
    Fun in the gym: Jack Wilshere and Emmanuel Frimpong pose during their weights session
    Furaha ndani ya gym: Jack Wilshere na Emmanuel Frimpong wakiwa kwenye mazoezi ya kunyanyua vitu vizito
    Day one: Arsenal players returned to training Thursday morning
    Siku imefana: Wachezaji wa Arsenal mazoezini jana
    Instruction: Arsene Wenger guides his players through the morning session
    Maelekezo: Arsene Wenger akiwapa maelekezo vijana wake jana asubuhi
    Stretching: Arsenal fitness coach Tony Colbert with Alex Oxlade-Chamberlain pull on a rope
    Kulainishwa viungo: Kocha wa mazoezi ya viungo wa Arsenal, Tony Colbert akimshughulikia Alex Oxlade-Chamberlain
    Watching on: Maroune Chamakh watches training at London Colney
    Anatazama: Maroune Chamakh akiangalia mazoezi Uwanja wa Colney
    Thumbs up: Lukasz Fabianski and Ryo Miyaichi pose for the camera
    Getting strong: Oxlade-Chamberlain works with free weights
    Mambo poa: Lukasz Fabianski na Ryo Miyaichi wakikimbia huku Oxlade-Chamberlain akinyanyua vitu vizito
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ARSENAL WAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA KWA AINA YAKE...NI FULL KUNYANYUA MAVYUMA NA KUFUKUZA UPEPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top