• HABARI MPYA

    Monday, July 01, 2013

    NEYMAR AMUITA ROONEY BARCA, AMUAMBIA NDIYO SEHEMU INAYOMFAA MCHEZAJI MZURI KAMA YEYE

    IMEWEKWA JULAI 1, 2013 SAA 8:18 MCHANA
    NYOTA wa Brazil, Neymar amemtaka mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney kufikiria kuhamia Barcelona, akisema itakuwa ni ndito kucheza na mshambuliaji huyo wa England. 
    Neymar, ambaye mwenyewe amejiunga na timu hiyo ya Katalunya mapema majira haya ya joto kwa dau la Pauni Milioni 48.6 kutoka Santos ya Brazil, ameitaja Camp Nou kama kituo sahihi kwa mchezaji mwenye kipaji kama Rooney. 
    Nyota huyo wa Samba, aliyefunga bao tamu wakati Brazil ikiichapa 3-0 Hispania jana katika Fainali ya Kombe loa Mabara, amesema: "Mtindo wa soka tunaocheza (Barcelona) na viwango vya wachezaji tulionao- ni klabu sahihi kwa wachezaji wakubwa kujiunga nayo,". 
    Star man: Neymar played a key role as Brazil won the Confederations Cup
    Nyota: Neymar alitoa mchango mkubwa kwa Brazil kutwaa Kombe la Mabara
    Tormentor: Neymar ran tirelessly at Ramos and the Spain back four in a sensational showing
    Neymar akiwatoka mabeki wa Hispania jana
    Uncertain future: Wayne Rooney will have talks with David Moyes this week
    Wayne Rooney atakuwa na mazungumzo na kocha mpya David Moyes kesho juu ya mustakabali wake Man United
    Neymar
    Lionel Messi
    Dream Team: Neymar na Lionel Messi wataongoza safu ya ushambuliaji ya Barcelona msimu ujao
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NEYMAR AMUITA ROONEY BARCA, AMUAMBIA NDIYO SEHEMU INAYOMFAA MCHEZAJI MZURI KAMA YEYE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top