• HABARI MPYA

    Saturday, August 03, 2013

    BEKI BORA AFRIKA MASHARIKI NA KATI AKIMWAGA WINO SIMBA SS NA KUKABIDHIWA UZI WA MNYAMA 'LIVE BILA CHENGA'

    IMEWEKWA AGOSTI 3, 2013 SAA 7:49 MCHANA
    Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph Itang'are 'Kinesi' kulia akimkabidhi jezi, beki wa kimataifa wa Burundi, Kaze Gilbert baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili leo kuichezea klabu hiyo, akitokea Vital'O ya Burundi. Kushoto ni Ofisa wa klabu, Matali. 

    Kaze akitia dole gumba. Kaze aliibuka beki bora wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame mwaka huu.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BEKI BORA AFRIKA MASHARIKI NA KATI AKIMWAGA WINO SIMBA SS NA KUKABIDHIWA UZI WA MNYAMA 'LIVE BILA CHENGA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top