IMEWEKWA AGOSTI 9, 2013 SAA 2:25 ASUBUHI




Cardiff















JEZI YA TATU





Manchester United

NYUMBANI


















WAKATI Ligi Kuu ya England inatarajiwa kuanza wiki ijayo, BIN ZUBEIRY inakueletea jezi za timu zote zitakazoshiriki ligi hiyo, za nyumbani na ugenini na baadhi ya timu zina jezi ya tatu pia. Angalia.
Arsenal
UGENINI
Jack Wilshere akionyesha jezi mpya ya ugenini ya Arsenal
Nyota sita Waingereza wa Arsenal na jezi mpya ya ugenini
VIDEO Uzi mpya wa ugenini wa Arsenal
Aston Villa
Mashabiki wa Villa watafurahi kumuona Benteke (kushoto) akionyesha jezi mpya
Jezi mpya za nyumbani za Villa zinakaribia kufanana na jezi za mwaka 1981 msimu waliotwaa taji
NYUMBANI
Jezi za ugenini kwa timu ya Villa Park
UGENINI
Andreas Weimann (kushoto) hivi karibuni amesaini Mkataba mpya na klabu hiyo
Cardiff
Puma imetoa jezi mpya za nyumbani za Cardiff City
NYUMBANI
Chelsea
Kutoka kushoto; David Luiz, Gary Cahill, Fernando Torres na Oscar wakionyesha jezi mpya za nyumbani za Chelsea
NYUMBANI
Keeping it simple: Juan Mata, Petr Cech, Fernando Torres and Oscar model next season's Chelsea kit
UGENINI
Jezi mpya ya ugenini ya Chelsea, kitu cha Adidas
JEZI YA TATU
Nyota wa Chelsea wakionyesha jezi yao ya tatu
Crystal Palace
NYUMBANI
Crystal Palace imetambulisha jezi zake mpya za nyumbani
UGENINI
Everton
NYUMBANI
Steven Pienaar akionyesha jezi mpya ya nyumbani ya Everton
UGENINI
Phil Jagielka akionyesha jezi mpya ya ugenini ya Everton
Fulham
NYUMBANI
Jezi mpya za nyumbani za Fulham kutoka Adidas
Kocha Martin Jol, katikati, na Graham Luke, Mtendaji Mkuu wa Marathonbet (kushoto) na Alistair Mackintosh, Mtendaji Mkuu wa Fulham katika uzinduzi wa jezi hizo
UGENINI
Luis Boa Morte alijiunga moja kwa moja na Fulham mwaka 2001 baada ya kucheza kwa mkopo akitokea Southampton
Kit Symons aliisaidia Fulham kupanda, lakini baadaye akatimkia Crystal Palace
Rufus Brevett aliichezea kwa miaka miwili katika Ligi Kuu Fulham
Hull
NYUMBANI
Hull walishika nafasi ya pili katika Ligi Daraja la Kwanza, Championship msimu uliopita
UGENINI
Hull imetambulisha jezi zake mpya za ugenini
Liverpool
Luis Suarez akiwa na jezi mpya ya Liverpool sambamba na Steven Gerrard na Pepe Reina
NYUMBANI
Steven Gerrard, Pepe Reina na Luis Suarez wakionyesha jezi mpya ya ugenini ya Liverpool
Jezi ya tatu ya Liverpool
Daniel Sturridge na Steven Gerrard kulia wakionyesha jezi ya tattu ya Liverpool msimu huu
Jezi ya tatu ya kipa Liverpool
Manchester City
Jezi ya nyumbani ya Manchester City
NYUMBANI
Milner akionyesha uwezo wake mbele ya Gael Clichy wakiwa na jezi mpya za nyumbani za City
Samir Nasri na Milner (kulia) wakiwa na jezi mpya za nyumbani za City
Kipa namba moja England, Joe Hart akiwa na jezi mpya ya makipa City
UGENINI
James Milner akionyesha jezi ya ugenini ya City
Jezi mpya ya nyumbani ya Manchester United
UGENINI
Rio Ferdinand, Tom Cleverley, Patrice Evra, Shinji Kagawa na Jonny Evans wakionyesha jezi mpya za ugenini za United
Ferdinand, Cleverley, Evra, Kagawa, Evans na kocha David Moyes
Newcastle
NYUMBANI
Jezi mpya ya nyumbani ya Newcastle
UGENINI
Ashley alipata wakati mgumu kwa kuleta mdhamini mpya, Wonga
Norwich
Bradley Johnson, Robert Snodgrass, Russell Martin na John Ruddy
NYUMBANI
UGENINI
Mchezaji ghali wa Norwich, Ricky van Wolfswinkel akioyesha jezi mpya ya ugenini
Southampton
Jezi za nyumbani za Southampton
NYUMBANI
UGENINI
Jezi za ugenini za Southampton
Stoke
NYUMBANI
Jezi mpya za nyumbani za Stoke
UGENINI
Peter Crouch na Robert Huth wakionyesha jezi mpya ya ugenini ya in Stoke
Sunderland
NYUMBANI
Jezi mpya za nyumbani za Sunderland
UGENINI
John O'Shea (kushoto) na Adam Johnson wakionyesha jezi mpya ya ugenini ya Sunderland
Swansea City
NYUMBANI
Leon Britton (kushoto) na Ben Davies wakionyesha jezi mpya za Swansea
Jezi za Swansea
UGENINI
Tottenham
Bale akiwa na Kyle Walker, Jan Vertonghen na Hugo Lloris
NYUMBANI
Tottenham watavaa HP kwenye jezi zao kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1999
UGENINI
Jezi za ugenini za Tottenham
West Brom
Jezi za nyumbani za West Brom
NYUMBANI
Jezi mpya za West Brom hazina tofauti sana na jezi za msimu uliopita
Jezi mpya za ugenini za West Brom zitawafanya waonekane kama AC Milan
UGENINI
West Ham United
NYUMBANI
Andy Carroll, Kevin Nolan, Winston Reid, Mark Noble na Matt Jarvis wakionyesha jezi mpya
UGENINI
West Ham imebadilisha rangi ya jezi za ugenini