![]() |
IMEWEKWA AGOSTI 4, 2013 SAA 4:13 USIKU
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wao wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo.
|
![]() |
| Jerry Tegete kulia akielekea kumuona kipa wa Mtibwa Sugar, Hussein Sharif 'Cassilas' |
![]() |
| Jerry Tegete akitafuta mbinu za kumlamba chenga Paul Ngalema |
![]() |
| Jerry Tegete akimtoka Paul Ngalema |
![]() |
| Tegete akiwatoka mabeki wa Mtibwa |
![]() |
| Nimtoke vipi huyu |
![]() |
| Said Bahanuzi akiteseka katikati ya mabeki wa Mtibwa Sugar |









.png)