Gonzalo Higuain akiifungia Juventus bao la kwanza dakika ya 29 kati ya mawili aliyofunga lingine dakika ya 59 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Monaco kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Louis II mjini Monaco, Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Wow that decision': Fighters react to Sean Strickland's stunning upset of
Khamzat Chimaev at UFC 328
-
Sean Strickland did the impossible. Twice.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment