![]() |
| Mkono wa kulia wa dereva la basi la Yanga SC, Maulid Kiula ulivyojeruhiwa na mashabiki wa Mbeya City |
![]() |
| Maulid Kiula, dereva wa basi la Yanga |
![]() |
| Meneja wa Uwanja wa Sokoine akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mayai matatu aliyoyaondoa katikati ya Uwanja kabla ya kuanza kwa mechi hiyo |
![]() |
| Yanafaa kula? Mayai yaliyoandikwa Kiarabu yaliyotolewa uwanjani kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
| Bendera ya Mbeya City na maandishi wa Kiarabu |
![]() |
| Basi la Yanga likiwa chini ya uangalizi wa Polisi Uwanja wa Sokoine lisishambuliwe zaidi |
![]() |
| Mashabiki wa Yanga kutoka Tunduma |
![]() |
| Walikuwepo mashabiki pia kutoka Dar es Salaam kama hawa tawi la Tandale kwa Mtogole, lakini hawakutamba mbele ya mashabiki wa Mbeya City |











.png)