• HABARI MPYA

    Friday, September 06, 2013

    SIMBA SC ILIVYOCHARAZA BAKORA ASKARI WAZUIA MAGENDO WA ZANZIBAR LEO TAIFA

    IMEWEKWA SEPTEMBA 6, 2013 SAA 2:57 USIKU
    Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Chombo 'Redondo' akijiandaa kupiga mpira dhidi ya beki wa KMKM ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 2-1.
    Kiungo wa Simba SC, Abdulhalim Humud 'Gaucho' akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa KMKM 


    Zahor Pazi akimtoka beki wa KMKM

    Twaha Ibrahim 'Neymar' akitia krosi

    Neymar wa Msimbazi anamzunguka mtu

    Haruna Shamte anapanda

    Zahor Pazi anapasua katikati ya watu

    Said Ndemla anafunga bao la kwanza

    Said Ndemla anapasua katikati ya msitu wa wachezaji wa KMKM

    Amisi Tambwe akiruka kupiga kichwa

    Ramadhani Chombo 'Redondo' akienda chini baada ya kuchezewa rafu

    Kipa wa KMKM, Mudathir Khamis akishuhudia mpira wa adhabu wa Kaze Gilbert ukielekea nyavuni

    Zahor Pazi akipiga kichwa mpira uliozuiwa na wachezaji wa KMKM 


    Kikosi cha Simba SC leo

    Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe alikuwepo Taifa leo

    Kikosi cha KMKM waliosimama wawili wa katikati ni Abdi Kassim 'Babbi' kulia na Ally Ahmed 'Shiboli' kushoto

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOCHARAZA BAKORA ASKARI WAZUIA MAGENDO WA ZANZIBAR LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top