• HABARI MPYA

    Saturday, September 07, 2013

    TAIFA STARS KUANZIA HOTELINI WAKIOGELEA HADI MAZOEZINI UWANJA AMBAO MECHI ITAPIGWA KESHO

    IMEWEKWA SEPTEMBA 7, 2013 SAA 6: 15 USIKU
    Mshambuliaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Ngassa akiwa kwenye Uwanja wa Independence, uliopo Bakui mjini Banjul, Gambia wakati wa mazoezi ya timu hiyo jioni ya leo kujiandaa na mchezo wa mwisho wa makundi kuwania tiketi ya Kombe la Dunia mwakani dhidi ya wenyeji kesho. 

     Mrisho Ngassa na kipa Ally Mustafa 'Barthez' kulia

    Mrisho Ngassa na Daktari Mwanandi Mwankemwa

    Mrisho Ngassa na kiungo Frank Domayo katika bwawa la kuogelea la hoteli waliyofikia ya Sea View Garden

    Ngassa na Henry Joseph na Khamis Mcha 'Vialli' nyuma

    Ngassa na Domayo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: TAIFA STARS KUANZIA HOTELINI WAKIOGELEA HADI MAZOEZINI UWANJA AMBAO MECHI ITAPIGWA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top