![]() |
Mrisho Ngassa akimpongeza Hamisi Kiiza kufunga bao la ushindi
|
![]() |
| Mrisho Ngassa akishangilia bao lake la kwanza |
![]() |
| Hamisi Kiiza akitimua mbio kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi |
![]() |
| Hamisi Kiiza akikimbilia pasi ndefu ya Mbuyu Twite iliyozaa bao la ushindi la Yanga |
![]() |
| Ameikuta na kufumua shuti kufunga bao la ushindi |
![]() |
| Saum Kanoni wa Kagera Sugar akimiliki mpira mbele ya Didier Kavumbangu wa Yanga |
![]() |
| Maregesi Mwangwa wa Kagera Sugar akikabiliana na Mrisho Ngassa |
![]() |
| Paul Ngway wa Kagera Sugar akigombea mpira na Frank Domayo wa Yanga, huku George Kavilla akiwa tayari kutoa msaada kulia |
![]() |
| Benjamin Asukile wa Kagera Sugar chini akimdhibiti Mrisho Ngassa wa Yanga SC |
![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akipambana na George Kavilla wa Kagera Sugar |
![]() |
| Mrisho Ngassa na Benjamin Asukile |
![]() |
| Simon Msuva wa Yanga akimruka kipa |
![]() |
| Didier Kavumbangu akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Kagera Sugar |
![]() |
| Hamisi Kiiza na beki wa Kagera |
![]() |
| Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wao |
![]() |
| Kikosi cha Yanga leo |
![]() |
| Kikosi cha Kagera leo |
![]() |
| Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Mussa Katabaro akisalimiana na kocha Msaidizi wa Kagera Sugar, Mrage Kabange |
![]() |
| Ghorofa hili lipo nyuma ya Uwanja wa Kaitaba, basi watu wengi huinia ili kuangalia mechi bure |
![]() |
| Shabiki akijipoza na juisi ya Azam huku akiangalia mechi Kaitaba |
![]() |
| Kijana juu ya moja ya miti iliyozunguka Uwanja wa Kaitaba akiangalia mechi bure |
![]() |
| Wengine hawa hapa |
![]() |
| Na wengine hawa hapa |


























.png)
0 comments:
Post a Comment