![]() |
| Kiungo wa Tusker, Michael Olonga akiwatoka wachezaji wa Azam |
![]() |
| Seif Abdallah wa Azam akimiliki mpira pembeni ya Martin Kiiza wa Tusker |
![]() |
| Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Azam Fc akipasua katikati ya Uwanja |
![]() |
| Beki wa Tusker akijaribu kumpokonya mpira mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, Brina Umony akijaribu kuumiliki vyema mpira mrefu aliotanguliziwa |
![]() |
| Kiungo mkabaji wa Azam FC, Kipre Balou akiondosha mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Tusker FC |
![]() |
| Winga wa Azam FC, Joseph Kimwaga akimuacha chini beki wa Tusker FC |
![]() |
| Kikosi cha Tusker FC leo |
![]() |
| Kikosi cha Azam FC leo |
![]() |
| Mashabiki jukwaa kuu wakiangalia burudani |













.png)
0 comments:
Post a Comment