![]() |
Mchezaji wa Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens, Mwanaidi Hassan akifunga kwenye goli la Kenya katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi jioni ya leo Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar. Queens walishinda 108-5. |
![]() |
Mchezaji wa Zanzibar, Mainda Roger akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Uganda katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi jioni ya leo Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar. Uganda walishinda 53-37. |
![]() |
Peace Prosocovia wa Uganda akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Zanzibar, Mwajuma Hamad |
![]() |
Pili Peter wa Zanzibar akidaka mpira katikati ya wachezaji wa Uganda |
![]() |
Wachezaji wa Uganda na Zanzibar wakigombea mpira |
![]() |
Irene Elias wa Tanzania Bara akidaka mpira mbele ya wachezaji wa Kenya |
![]() |
Mwanaidi akifunga |
![]() |
Rachel Nanyonga wa Uganda akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Zanzibar |
![]() |
Asha Ibrahim wa Zanzibar kulia akigombea mpira na mchezaji wa Uganda, Lillian Ajio |
![]() |
Viongozi wa CHANETA na CHANEZA wakiwa na Katibu wa TBF, Saleh Zonga wa pili kushoto |
![]() |
Meneja wa Queens, Zakia Kondo kushoto akiwa na mchezaji wake, Fatuma Bakari |
0 comments:
Post a Comment