• HABARI MPYA

    Thursday, January 09, 2014

    YANGA SC NDANI YA ANTALYA...RAHA ILIYOJE KWA WACHEZAJI JANGWANI

    Wachezaji wa Yanga kutoka kulia Mrisho Ngassa, Job Ibrahim, Kevin Yondan na David Luhende baada ya kutua katika Uwanjaa Ndege wa Antalya nchini Uturuki jioni ya leo, ambako timu hiyo imekwenda kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Bara.
    Yanga raha bwana; Kutoka kulia Jerry Tegete, Luhende, Ibrahim Job na Yondan 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NDANI YA ANTALYA...RAHA ILIYOJE KWA WACHEZAJI JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top