Kiungo mkabaji: Kiungo mpya wa Chelsea, Nemanja Matic akifanya mazoezi na klabu yake hiyo ya zamani leo katika viwanja vya mazoezi vya Cobham baada ya kurejea rasmi kwa dau la Pauni Milioni 21 kutoka Benfica ya Ureno.
Kiungo huyo mkajabi wa Kiserbia amewahi kuchezea Cheslea miaka mitatu iliyopta hapa anamfunga tela Demba Ba
Alisajiliwa na kocha Carlo Ancelotti Agosti 2009 kutoka Kosice ya Slovakia, lakini kocha huyo Mtaliano akamtema miaka miwili na nusu baadaye baada ya kucheza mechi tatu tatu
Lakini kocha wa sasa Chelsea, Jose Mourinho kulia amemrejesha kikosini akiamini ndiye suluhisho la safu ya kiungo katika ulinzi
0 comments:
Post a Comment