• HABARI MPYA

    Saturday, July 05, 2014

    HIGUAIN AIPELEKA ARGENTINA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

    Shujaa; Mshambuliaji wa Argentina, Gonzalo Higuain kulia akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya nane dhidi ya Ubelgiji katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Dunia leo Uwanja wa Nacional mjini Brasilia, Brazil. Argentina imekwenda Nusu Fainali.Can't catch him: Barcelona forward Lionel Messi was in fine form in Brasilia on Saturday
    Lionel Messi wa Argentina akimtoka mchezaji wa Ubelgiji
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HIGUAIN AIPELEKA ARGENTINA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top