• HABARI MPYA

    Saturday, July 05, 2014

    SERENGETI BOYS MAZOEZINI KARUME LEO KUJIANDAA DHIDI YA AMAJIMBOS

    Wachezaji wa timu ya vijana ya taifa chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys wakifanya mazoezi asubuhi ya leo Uwanja wa Karume Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kwanza wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika dhidi ya Afrika Kusini 'Amajimbos' wiki ijayo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERENGETI BOYS MAZOEZINI KARUME LEO KUJIANDAA DHIDI YA AMAJIMBOS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top