• HABARI MPYA

    Saturday, August 02, 2014

    SERENGETI BOYS YAFA 4-0 SOWETO, AMAJIMBOS MBELEEEE

    Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefungwa mabao 4-0 na wenyeji Afrika Kusini, Amajimbos jioni ya leo Uwanja wa Dobsonville mjini Soweto, hivyo kutolewa katika kinyang'anyiro cha kuwania tiketi ya fainali za vijana baada ya awali kulazimishwa sare ya bila kufungana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERENGETI BOYS YAFA 4-0 SOWETO, AMAJIMBOS MBELEEEE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top