• HABARI MPYA

    Monday, August 04, 2014

    TAIFA STARS NA MSUMBIJI KATIKA PICHA JANA ZIMPETO

    Mshambuliaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimenyana na beki wa Msumbiji, Almiro Lobo Uwanja wa Zimpeto mjini Maputo jana katika mchezo wa marudiano, hatua ya mwisho kuwania tiketi ya kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Morocco. Mambas walishinda 2-1 na kufuzu kwa ushindi wa jumla ya 4-3 baada ya sare ya 2-2 katika mchezo wa kwanza Dar es Salaam.
    Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akifanya yake katikati ya mabeki wa Msumbiji 
    Samatta alikuwa mwiba wa sadu ya ulinzi ya Msumbiji jana
    Mshambuliaji wa Tanzania, John Bocco akimtoka beki wa Msumbiji, Dario Khan jana
    Winga wa Tanzania, Mrisho Ngassa akimtoika beki wa Msumbiji, Zainadine Junior jana
    Samatta alijituma kiasi cha kutosha jana na ndiye aliyefunga bao la Stars kwa juhudi zake binafasi
    Thomas Ulimwengu akimtoka Almiro Lobo

    Mbwana Samatta akilia baada ya mwchi jana, huku akisaidiwa na shabiki kulia
    Kikosi cha Stars kilichoanza jana
    Kikosi cha Msumbiji jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA MSUMBIJI KATIKA PICHA JANA ZIMPETO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top