Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > TEMEKE MABINGWA KOMBE LA TAIFA WANAWAKE HABARI ZA NYUMBANI TEMEKE MABINGWA KOMBE LA TAIFA WANAWAKE Nahodha wa Temeke akiwa ameinua Kombe la Taifa la Wanawake baada ya kuwafunga Pwani 1-0 katika fainali leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Wachezaji wa Temeke wakifurahia na mfano wa hundi ya Sh, Milioni 3 baada ya ubingwa wa leo Sunday, February 01, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment