Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Lobatse nchini Botswana jioni ya leo ambao utatumika kwa ajili ya mechi ya kesho ya marudiano Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho la Afrika (CAF) dhidi ya wenyeji BDF XI. Yanga SC ilishinda 2-0 katika mchezo wa kwanza wiki iliyopita Dar es Salaam na kesho itahitaji hata sare kusonga mbele.


0 comments:
Post a Comment